About

Friday, November 18, 2016

Mpangilio wa Kitabu cha Daniel

Discussion in 'Mafundisho ya Biblia' started by greenonesmoJun 9, 2016.
  1. greenonesmo

    greenonesmoMember

    ISura ya kwanza .Daniel Na mwenzake kukikataa chakula cha mfalme ili wasijitie unajisi nacho.maana kilikuwa kinatolewa sadaka kwa miungu mingine.ivyo wlimuheshimu Mungu na Mungu akawathibitisha na kuwafanikisha.

    Sura ya pili ndoto ya sanamu ya mfalme nebkandreza .yaani karenda ya Mungu kwa mataifa mpaka wakati wa kurudi yesu Mara ya pili

    Sura ya tatu sanamu alioifanya mfalme nebkandreza .Na shadraki meshaki Na aberinego kukataa kusujudia ilikumuheshimu Mungu alie hai

    Sura ya NNE ndoto ya pili ya nebukandreza Na kufukuzwa kwake mbali Na wanadamu sababu ya kiburi chake

    Sura ya tano kifo cha belshaza .

    Sura ya sita .danieli kutupwa ndani ya tundu la simba Na utukufu was Mungu kumuokoa

    Sura ya saba .wanyama wanne aliowaona Daniel katika ndoto wanao wakilisha karenda ya Mungu kwa mataifa

    Sura ya nane kondoo mwenye pembe mbili beberu mwenye pembe moja na kuvunjika kwa pembe ya beberu alafu kuzuka kwa pembe nyingine NNE

    Sura ya tisa karenda ya Mungu juu ya taifa LA islael

    Tunapo sema mataifa ni kutoa taiga LA Israel. Ivyo Israel pia ina karenda yake binafsia adi kurudi kwa yesu kristo

    Sura ya kumi na kumi na moja maelezo juu ya falme zitakazo kuja.kuanzia kipindi cha Daniel

    Sura kumi na mbili. Taabu ya yakobo yaani dhiki kuuu

    Hapo utasoma kitabu cha Daniel kwa rahaa na kupata ufahamu

No comments:

Post a Comment