About

Friday, November 18, 2016

karenda kwa mataifa kitabu cha danieli

Discussion in 'Mafundisho ya Biblia' started by greenonesmoJun 9, 2016.
  1. greenonesmo

    greenonesmoMember

    Karenda ya mataifa

    Duniani kuna falme nane ambazo Mungu ameziweka katika karenda mpaka kurudi kwa Yesu kristo. Ajuaye na afahamu

    Falme izo ni (enzi kuuu)

    1_ misri _hii ndio dola ya zamani sana

    2_ ashuru _hii Mungu alihiinua kwaajiri ya kuliadhibu taifa lake Israel Lilipo acha kumtegemea yeye

    3_ babeli _hii dola iliinuka baada ya ashuru .ndiko waliko chukuliwa mateka Israel kwaajili ya matengenezo baada ya israeli kuziacha sheria za mungu

    4_umedi na uajemi_hii iliinuka baada ya babeli kuanguka belshaza alivyo vichukua vyombo vya hekaru la Mungu ambayo babaake nebkandreza alivichukua yerusalem katika hekaru la Mungu nae akavitumia kwa anasa ndipo yakatokea Yale maneno ya mungu kwaabari ya kugawanyika kwa ufalme wake na kupewa wamedi na waajemi

    5_uyunani ambao uliinuka baada umedi na uajemi kuanguka

    6_rumi._hii dola hata yesu kristo aliikuta in dola iliokuwa inatawaliwa na makaisari ata wakati wa ufunuo wa yohana dola hii ndio ilio kuwa inatawala ilitumika sana. Kulinyanyasa kanisa LA kristo

    7.revived roman empire ambayo ipo sasa ambayo ndani yake ina ngu za chuma lakini aijashikamana kama ule udongo kwenye sanamu ya ile katika ndoto ya nebkandreza iliyo tolewa tafsili na daniel kitabu cha danieli 2
    Inangu ya chuma kwasababu uchumi wao ni mmoja na wananguvu kiuchumi na pesa yao inanguvu yaani yuro
    Lakini aijashikamana kama ule udongo katika nyayo yaani kila nchi ina bendera yake ivyo wananguvu kiuchumi lakini awjashikamana
    Dora za zamaini ilikuwa kama dola moja inatawa bendera za nchi zingine zilikuwa zina shushwa.

    8_mpinga kristo_ambaye ajaja bado mpaka kanisa litakapo nyakuliwa ndipo atajiinua kwa kusaidiwa na hii revived roman empire Ambayo IPO sasa
    Naa atakapo jiinua lazima falme tatu zianguke kati ya zile kumi zinazo unda revived roman empire zile ambazo zilikuwa sehemu ya dola ya Roma zamani

    Ivyo Yesu anarudi tubu ukatakaswe kwa damu ya yesu ucje ukaingia kwenye kipindi cha ziki kuu
    Maadam neema IPO tubu
    Roho mtakatifu ata ondoka na watakatifu ivyo unatakiwa kuokoka
    Alafu ujazwe Roho mtakatifu yeye
    Ndiye Alie arabuni ya urithi wetu
    Yaani muuhuri kwa watakatifu nae ndiye Alie mbeba Yesu kwenda mbinguni
    Atatubeba na sisi pia
    Pauro anasema katika warumi 8 wario na Roho wa mungu ao ndio wana wa mungu Raki pia anasema ikiwa Roho yule Alie mfufua Yesu katika wafu anaishi ndani yenu ataiusha na miili yenu ilio katika hali ya kufa ili tuwe na uzima hapa pauro kwa Roho mtakatifu ana tukumbusha kuwa uzima wetu uko ndani ya Yesu kwa Roho mtakatifu.
    Pia tafuta kubatizwa ubatizo wa maji mengi mathayo 3 matendo ya mitume 2 hadi 3 yohana 1 26 27

No comments:

Post a Comment